Home
Unlabelled
Ankal akiwa out na familia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani yaani ufukwe mweupeeee.....watu wote wamejazana....kigogo, mburahati,ali maua, tandare, uzuri, manzese, magomeni, buza, mikoroshini......wanagulia maumivu...cheza na naniliu wewe...hahaha nsije nkaambia naongeza kuni bure.....ila fukwe hili lingekua huku yaani sipati picha.....haya bwana kwenye miti.....
ReplyDeleteAnkal ngoma mbichi..Hongera!!!
ReplyDeleteSafi sana hiyo!
ReplyDeleteMmependeza
ReplyDeletehata mimi napenda, hasa akiwa familia ikiwa dogodogo.
ReplyDeleteANko mmependeza! mbona msichana mdogo sana?
ReplyDeleteJe watoto wengine wapo wapi?
ReplyDeleteAnkal umechelewa kuzaa! vitoto kama vijukuu!!! kah! Au una vingine vya kusingiziwa? wakati upo shule?
ReplyDeleteHongera uncle mwenyezimungu azidi kukupa huo upendo kwa familia yako, jamani tutumie akili hata awe na wajukuu haimzuii kuzalisha mungu akikupa uwezo zaa au zalisha kama mume na mke kwa wenye imani za mume na mke kucheleewa au kuwahi ni uwezo wa uwamuzi wa mungu, wengi hufikiria mtoto anapatikana kwa nguvu za kawaida ndomana wengi huachana na kuishia kwa waganga wa kienyeji wakichawi, jengeni imani hata usipo kuwa na mtoto bado mshukuru mungu penda watoto wa wenzio kuwa na watoto ni zawadi ya mungu na anakupima je utawatizama kwa upendo? Wengi wana watoto ila si wazazi wazuri na wasiopata wengine wanaishia kwenye shirki badala ya kuzidi kujitahidi kumtafuta mtoto asipopatikana wewe mshukuru mungu. MS
ReplyDeleteMi nashangaa kuna mijitu shule ya sheria na heshima ndogo mno.
ReplyDeleteMbona mdogo? Kwani ana miaka 15? Sheria imeruhusu miaka 18+, na mtu kajichagulia na wameridhiana, we yakwashiani?
Haya mchagulie wewe ajuza wa miaka 81+.
Lazima mheshimu personal preference, ni wajibu.
I love this.
ReplyDeleteYou have a beautiful family !
Keep it up my brother.
Safiiii....
ReplyDeleteHivi tanzania hawafundishi Rights Ethics na Duty Ethics?
ReplyDeleteNaona watu wanampa ankal za uso kwa nini hakuoa mke wa umri sawa na wake zao.
Madili ni pamaoja na kuheshimu haki za watu kujenga maisha yao yaliyo tofauti na yako. La sivyo, ukabila, udini, urangi, n.k. havitaisha.
THIS IS PRIVATE BEACH!! (ANKAL'S) we wa mburahati ka hukohuko!!
ReplyDeletemmh bora mimi niliolewa
ReplyDeletenina 24 years
mume wangu 31 years
na simuachi ng`o mume wangu wa ujana wangu
Ankal na familia mungu awabariki na kukuzidishieni afya ,furaha na maisha bora.
ReplyDeletewadau
FFU-Ughaibuni