"...Upatapo nafasi, japo mara moja kwa mwezi,  usikose kuitoa familia out", anasema Ankal akiwa na familia ufukweni Kunduchi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 19, 2014

    Jamani yaani ufukwe mweupeeee.....watu wote wamejazana....kigogo, mburahati,ali maua, tandare, uzuri, manzese, magomeni, buza, mikoroshini......wanagulia maumivu...cheza na naniliu wewe...hahaha nsije nkaambia naongeza kuni bure.....ila fukwe hili lingekua huku yaani sipati picha.....haya bwana kwenye miti.....

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 19, 2014

    Ankal ngoma mbichi..Hongera!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 19, 2014

    Safi sana hiyo!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 19, 2014

    Mmependeza

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 19, 2014

    hata mimi napenda, hasa akiwa familia ikiwa dogodogo.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 19, 2014

    ANko mmependeza! mbona msichana mdogo sana?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 19, 2014

    Je watoto wengine wapo wapi?

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 19, 2014

    Ankal umechelewa kuzaa! vitoto kama vijukuu!!! kah! Au una vingine vya kusingiziwa? wakati upo shule?

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 19, 2014

    Hongera uncle mwenyezimungu azidi kukupa huo upendo kwa familia yako, jamani tutumie akili hata awe na wajukuu haimzuii kuzalisha mungu akikupa uwezo zaa au zalisha kama mume na mke kwa wenye imani za mume na mke kucheleewa au kuwahi ni uwezo wa uwamuzi wa mungu, wengi hufikiria mtoto anapatikana kwa nguvu za kawaida ndomana wengi huachana na kuishia kwa waganga wa kienyeji wakichawi, jengeni imani hata usipo kuwa na mtoto bado mshukuru mungu penda watoto wa wenzio kuwa na watoto ni zawadi ya mungu na anakupima je utawatizama kwa upendo? Wengi wana watoto ila si wazazi wazuri na wasiopata wengine wanaishia kwenye shirki badala ya kuzidi kujitahidi kumtafuta mtoto asipopatikana wewe mshukuru mungu. MS

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 19, 2014

    Mi nashangaa kuna mijitu shule ya sheria na heshima ndogo mno.

    Mbona mdogo? Kwani ana miaka 15? Sheria imeruhusu miaka 18+, na mtu kajichagulia na wameridhiana, we yakwashiani?

    Haya mchagulie wewe ajuza wa miaka 81+.

    Lazima mheshimu personal preference, ni wajibu.

    ReplyDelete
  11. I love this.
    You have a beautiful family !
    Keep it up my brother.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 19, 2014

    Hivi tanzania hawafundishi Rights Ethics na Duty Ethics?

    Naona watu wanampa ankal za uso kwa nini hakuoa mke wa umri sawa na wake zao.

    Madili ni pamaoja na kuheshimu haki za watu kujenga maisha yao yaliyo tofauti na yako. La sivyo, ukabila, udini, urangi, n.k. havitaisha.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 19, 2014

    THIS IS PRIVATE BEACH!! (ANKAL'S) we wa mburahati ka hukohuko!!

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 19, 2014

    mmh bora mimi niliolewa

    nina 24 years
    mume wangu 31 years

    na simuachi ng`o mume wangu wa ujana wangu

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 19, 2014

    Ankal na familia mungu awabariki na kukuzidishieni afya ,furaha na maisha bora.
    wadau
    FFU-Ughaibuni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...