Mjomba wake na Ankal wa Libeneke la Globu ya Jamii, Bi. Shahada Ibrahim (wa tatu kulia) akiwa na Wahitimu wenzake wa Ualimu kwa ngazi ya Cheti wakirusha kwa pamoja kofia zao juu mara baada ya kula Nondozz zao katika Chuo ya Ualimu cha Mtakatifu Rock kilichopo Wilayani Korogwe,Mkoani Tanga,ikiwa ni mahafali ya Nane ya chuo hicho ambayo yalifanyika jana Mei 17,2014 Chuoni hapo.
Ankal Shahada Ibrahim akipozi na Wahitimu wenzake.
Shahada Ibrahimu akiwa ni mwenye furaha tele baada ya kulamba Nondozz yake hiyo aliyoisotea kwa miaka mibeee...
Shahada akiongezwa na mjomba wake mkubwa Ismail.
Mama Mzazi wa Shahada, ambaye ni dada wa Ankal, akimpongeza mwanae huku wote wakiwa na furaha tele.
Hongera sana dadaShahada na wenzako.
ReplyDelete1:Picha ni zuri sana(Camera gani hii Ankal au ni upigaji?)
2:Joho zuri,yaani 'mmetokelezea'
3:Back ground nzuri sana-greenish na hiyo milima.....
4:Keki nayo ina ukijani kama hiyo miti.!
David
mpangilio wa meno wa mama na mtoto kama original na rotated photocopy yaani NIIIceeee!!!!!
ReplyDelete