Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 01, 2014

    Hivi mlonganzila ni karibu na wapi huko Dar.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 01, 2014

    kibamba :)

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 02, 2014

    Kibamba CCM dakika kumi kwa miguu kutoka barabara ya Morogoro. ni eneo zuri sana limetulia ni karibu na mjini.Eneo hili ni hot cake kwa makazi wana huduma zote muhimu. Mdau nadhani umepata picha kamili

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 03, 2014

    Nimepata nilikuwa na shamba la machungwa miaka saba iliyopita nikaliuza huko kumbe ningejua nikangoja kidogo pengine bei ingekuwa nzuri zaidi au ningejenga nyumba ya kustaafu huko. Asanteni. wadau

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...