Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Prof.Anna Tibaijuka kulia akiwa na naibu Waziri wake wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi Mhe.Simbachawene wakati akijianda kuwasilisha Bajeti ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka 2014/2015 leo .Mjadala wa Bajeti hiyo utaendelea kujadiliwa kesho.
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Mhe. Prof.Anna Tibaijuka akiwasilisha Bajeti ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka 2014/2015 leo .Mjadala wa Bajeti hiyo utaendelea kujadiliwa kesho. Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...