Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw.Uledi A.Mussa kushoto akimpongeza Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe.Abdallah Kigoda Mara baada ya Bajeti ya  Wizara ya Viwanda na Biashara kwa Mwaka 2014/2015 kupitishwa na Bunge
 Balozi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa UN Mhe. Modest J.Muro wapili kushoto akimpongeza Waziri wa Biashara na Viwanda  Mhe.Abdallah Kigoda Mara baada ya Bajeti ya  Wizara ya Viwanda na Biashara kwa Mwaka 2014/2015 kupitishwa na Bunge leo,wa kwanza kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe.Janet Mbene na wapili kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw.Uledi A.Mussa
 Balozi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa UN Mhe. Modest akimpongeza Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe.Janet Mbene.
Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe.Abdallah Kigoda na maofisa wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakifurahia wakati wakitoka katika ukimbi wa bunge baada ya Bajeti ya  Wizara ya Viwanda na Biashara kwa Mwaka 2014/2015 kupitishwa na Bunge
Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe.Abdallah Kigoda  akipunga mkono kuashiria kuwaaga maofisa wa Wizara yake Mara baada ya Bajeti ya  Wizara ya Viwanda na Biashara kwa Mwaka 2014/2015 kupitishwa na Bunge. Na Deusdedit Moshi Mtendaji Mkuu wa Photo Solutions wawakilishi wa Michuzi Blog Kanda ya Kati.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...