Mgeni Rasmi Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka akimkabidhi zawadi ya Tsh 5,000,000 Mshindi wa Mama Shujaa wa Chakula 2014 Bahati Muriga kutoka Nansio Ukerewe Mwanza.
Mshindi wa Mama Shujaa wa Chakula 2014 Bahati Muriga kutoka Nansio Ukerewe Mwanza akionesha zawadi yake ya Tsh 5,000,000 aliyokabidhiwa na Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka
Afisa Mradi wa UKIMWI kutoka OXFAM Ester Mhagama akipokea zawadi ya Tsh 2,500,000 kwa niaba ya Mama Shujaa wa Chakula Msimu uliopita Sister Martha Mwasu kutoka kwa Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka
Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka akimkabidhi David Sevuri zawadi ya Tsh 2,000,000 kwa ajili ya vijana wote walioshiriki katika shindano la Maisha Plus.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...