Balozi wa Finland Nchini Sinikka Antila akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi ya
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo mara baada ya kuwasili.
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (Mb) akisisitiza jambo katika
kikao hicho. Kati ya masuala yaliyojadiliwa ni pamoja na ushirikiano baina ya nchi ya
Tanzania na Finland katika masuala ya teknolojia, uendelezaji wa rasilimaliwatu na
usimamizi wa fedha.
Balozi wa Finland Nchini Sinikka Antila (kulia) akizungumzia jinsi nchi ya Finland
ilivyopiga hatua kimaendeleo hususani katika sekta ya nishati pamoja na utayari wa
nchi hiyo kushirikiana na nchi ya Tanzania katika kuimarisha sekta za nishati na
madini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...