Mke wa Rais na Mlezi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mandela akisalimiana na baadhi ya walimu wa Shule hiyo mara alipowasili shuleni hapo kwa ziara ya siku moja tarehe 10.5.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongozana na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mandela Ndugu Rose Ummy (kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ndugu Ahmed Kipozi (kulia) na wageni wengine wakitembelea maeneo mbalimbali ya shule hiyo.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifuatilia jaribio la somo la Fizikia (Hooke’s Law: Inayosema ‘The force needed to extend or compress a spring by some distance is proportional to that distance’) lililokuwa likifanywa na mwanafunzi Mwajuma Mwanankuta wa Kidato cha 4 katika Shule ya Sekondari ya wasichana ya Mandela tarehe 10.5.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea ya saluti ya Girl Guides kutoka shule ya sekondari ya wasichana ya Mandela .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2014

    Ni Mandela ama Mandera? Naona elimu inapotea kabisa. Waliotoka shule za kata tayari wako sokoni nini? Yaani even a very common name like Mandela is mis-spelt? Kazi kweli kweli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...