Bari mali ya kampuni ya Dar Express iliyokua ikitokea jijini Dar na kuelekea Jijini Nairobi,Nchini Kenya limepata ajali mapema leo asubuhi katika eneo la kijiji cha jirani na Mto Wami.Chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana. Abiria wengi
wamenusurika na kufanikiwa kutoka,japo kuna wachache ambao wamejeruhiwa.
Home
Unlabelled
BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI ENEO LA WAMI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
tuendeleze juhudi za kudhibiti ajali,
ReplyDelete