Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari Kibosho, Mhandisi Aloyce Peter Mushi akizungumza wakati wa hafla ya mahafali ya Kidato cha Sita ya Shule ya Sekondari ya Kibosho. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizindua jengo la mahabara ya Shule ya Sekondari Kibosho, wakati wa mahafali ya 30 ya kidato cha sita yaliyofanyika Mkoani Kilimanjaro. Kushoto ni Mkuu wa Shule hiyo, sista Anna na kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya shule hiyo, Mhandisi Aloyce Peter Mushi. Benki ya CRDB ilitoa mchango wa shs. milioni 5 kwa ajili ya shule hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shule, Mhandisi Aloyce Peter Mushi. Kulia ni Mkuu wa Shule hiyo, Sista Anna.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akizindua gazeti la shule. Kushoto ni Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Kibosho, Sista Anna na Mwenyekiti wa Bodi ya Shule, Mhandisi Aloyce Peter Mushi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akitoa zawadi kwa mwanafunzi aliyefanya vizuri katika masomo yake.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...