Hii ndiyo halisi ilivyo kwenye kipande cha barabara kati ya Tabata Barakuda na Daraja la Vingunguti, kabla ya kufika kwenye machinjio.
Ni hali mbaya sana. Tunawaomba waliokuwa wanajenga kipande hicho cha barabara watusaidie angalau kusambaza kifusi kilichowekwa kabla hata ya zile mvua kubwa kunyesha.
Mdau - Tabata Segerea
Hata barabara ya kutoka tabata changombe inayoungana na barabara kimanga Mazda haipitiki bomba la dawasko kubwa lina karibia kupasuka dawasko mpo!
ReplyDelete