Meneja wa Mikopo ya Nyumba kutoka Benki ya CRDB, Silas Katemi akitoa mada wakati wa Mkutano wa nane wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa uliofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Meneja Uhusiano wa Premier Banking, Augusta Mfuru akizungumza wakati wa mkutano wa nane wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa uliofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Ofisa wa Benki ya CRDB, Nasiwa Solomon akizungumza wakati wa mkutano huo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...