Mkurugenzi mkuu wa KAMPUNI ya Dar Brew,Bw. Kiroi Suma (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya uzinduzi wa bia mpya ya asili ya chibuku super jijini Dar Es Salaam hivi karibuni.Kulia ni Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kiwanda hicho,Said Mremi.
Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kiwanda hicho,Said Mremi akionyesha moja ya chupa ya Chibuku mbele ya waandhishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa bia hiyo mpya ya asili ya chibuku super jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

Waandishi wa habari wakionyeshwa mitambo maalum na ya kisasa inayotumika kuzalisha Bia ya Chibuku Super

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 19, 2014

    Ninaomba tusahihishe kichwa cha habari hapo juu. Neno 'zingua' nadhani tulitaka tuandike zindua.Ni makosa ya kibinadamu ila tuwe makini zaidi. Asante

    Mdau wa Lugha

    ReplyDelete
  2. Plz,nitashukuru sn kama nitapata soko la ulezi hapo brew,nina gunia 150,tuwasiliane 0719076555

    ReplyDelete
  3. Tafadhali,nisaidieni kupata soko la ulezi gunia 150

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...