Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akipata ufafanuzi wa Ujenzi wa Barabara ya Machame kutoka kwa Kaimu Meneja wa Tanroads mkoani Kilimanjaro,Mhandisi Reginald Massawe(Kushoto).
Mwenyekiti wa kijiji cha Nshara akimwonyesha mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga pamoja na Maofisa wa Tanroads mkoani Kilimanjaro moja ya eneo hatari kwa watumia barabara ya Machame katika kona ya Lambo.
Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga na maofisa wa Tanroads wakishuhudia mifugo ikisagwa katika barabara ya Machame.
Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akitoa maelekezo ya barabara ya Machame,kulia ni mmoja ya wataalamu wa ujenzi katika wilaya ya Hai,Mhandisi Peace.
Mkuu wa wilaya ya Hai akiangalia moja ya eneo la barabara ya Machame ambalo lina kasoro katika ukarabati wake huku maofisa wa Tanroads mkoa wa Kilimanjaro wakitoa maelezo.
Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akipata maelezo kutoka kwa mwakilishi wa kampuni ya Mhandishi mshauri wa barabara ya Kwasadala hadi Masama,Crown Tech Consult Limited.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...