Diamond Plutnumz akiongozana na wasafi pamoja na Dj Romy Jons (Dj wake) kulia wakiwa na mwenyeji wao DMK wakiwasili tayari kukutana na mashabiki wake waliofika kwenye mgahawa wa Safari, Washington, DC kumsubili na kupiga nae picha.
  Diamond Plutnumz akiwa ndani ya mgahawa wa Safari na kruu wake katika picha na mashbiki waliofika kumsabai na kupiga nae picha.
 Mashabiki wa Diamond wakipata ukodak moment na Diamond Plutnumz mara tu alipotua ndani ya mgahawa wa Safari siku ya Ijumaa May 30, 2014.
 Shabiki akiwa bado na kiu ya kupata ukodak na Rais wa Wasfai, Diamond kulia ni DMK poromota wa msanii huyo ambaye ndie anayekimbiza sasa hivi na akiwa nominee wa MTV africa na BET award itakayofanyika nchini Marekani June 29, 2014.
 Diamond akiongea jambo na Mkuu wa Utawala na Fedha Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Mama Lily Munanka.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2014

    Ni aibu kabisa hawa wanamuziki kujifanya Black Americans na staili ya mavazi yao hii . Sasa wanaonesha utamaduni gani hapa wa kutoka Tanzania. This is a Low Class dressing code hapa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 01, 2014

    Watz,tuache kuchonga midomo kwa kila kipitacho,khaaa! Mwacheni Diamond afanye vyake. Ulitaka avae suti ya vitenge? Kijana bado mdogo,mwache aenjoy ujana wake,kama mwenyewe alivyosema, "ujana maji ya moto". THIS IS UR TIME BABY,ENJOYY!!!! We mdau wa kwanza uko DMV, maana weather ya Ijumaa ilikuwa very warm. Kijana ananifanya niwe proud kusema yeye ni Mtanzania wa kwanza kuwa nominated Bet awards!!! You go boy!!!! KEEP UR HEAD UP! PUT ALLAH FIRST,HE WILL SHOWER HIS BLESSINGS OVER U AS HE ALREADY HAD!! We pray for u bro!! KEEP MAKING TZ PROUD!!!!
    FAN/DMV

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 01, 2014

    Waache wavae wanavyotaka. Unataja uwachagulie nguo gani za kitanzania? Mashuka ya kimasai? Mijitu mingine bana, kazi kukosoa watu siku kucha. Get a life. Diamond and Crew, Do you fellas! And Keep bringing us good music. Haters gonna hate.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 03, 2014

    mavazi yanavaliwa kulingana na mahali ulipo kwa hiyo kijana hajabaki nyuma angalia na kufurahia mafanikio yake na nchi yetu acheni usanii

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...