Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dk Asha Rose Migiro akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa TUMESHERIA katika kikao cha Baraza la wafanyakazi kilichofanyika katika ofisi za Bunge Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi ambaye ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bi. Winfrida Koroso akitoa maelezo mafupi kabla ya Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dk Asha Rose Migiro kuzindua Baraza jipya la Tume.
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi TUMESHERIA wakimsikiliza mgeni rasmi
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi TUMESHERIA wakijumuika na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dk Asha Rose Migiro kuimba wimbo wa Wafanyakazi wakati wa kikao cha Baraza la wafanayakazi kilichofanyika ofisi za Bunge Dar es Salaam.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dk Asha Rose Migiro akiwa katika picha ya pamoja na Makamishna wa Kudumu wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania pamoja na wajumbe wapya wa Baraza la Wafanayakazi. Wa pili kushoto ni Kamishna wa Tume Bi. Esther Manyesha na wa kwanza kushoto ni Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Winfrida Korosso.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...