Meneja Uendeshaji wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Ronald Baraka Shelukindo akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari (wahapo pichani) waliofika kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa King'amuzi kipya na cha kisasa cha DStv kifahamikacho kama DStv Explora.Uzinduzi huo umefanyika kwenye Hoteli ya Southen Sun jijini Dar es Salaam Mei 06,2014.
Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi akifafanua jambo juu ya matumizi ya king'amuzi hicho.
Meneja Uendeshaji wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Ronald Baraka Shelukindo (kulia) na Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi (kushoto) kwa pamoja wakibidhi King'amuzi cha DStv Explora kwa mshindi wa bahati nasibu iliyochezeshwa ukumbini hapo,Bw. Bernard Mukasa kutoka Kampuni ya Mwananchi.
Sehemu ya wanahabari waliohudhulia hafla hiyo ya uzinduzi wa King'amuzi kipya na cha kisasa cha DStv kifahamikacho kama DStv Explora,uliofanyika Mei 06,2014 kwenye Hoteli ya Southen Sun jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Sasa hujatuambia kikoje hicho king'amuzi kipya? Yaani kina tofauti gani na hiki cha sasa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...