Kamera ya Globu ya Jamii iliinasa taswira ya duka hili la dawa za asili linalotembea likiwa limepaki maeneo ya Soko Kuu la Arusha,likiendeleza libeneke lake kama kawa huku mmoja wa wateja akiendelea kupata huduma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2014

    kodi za kupangisha maduka zimekuwa kubwa bora wote wahamie kwenye magari wenye mijumba wakose wateja wapunguze bei..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...