Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Sihaba Nkinga
akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu maadhimisho ya siku ya Uanuwai wa
Utamaduni Duniani inayoadhimishwa kila ifikapo tarehe 21 Mei kila mwaka leo jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni Mkurugenzi Maendeleo ya Utamaduni Pro. Hermas Mwansoko.Picha na: Genofeva Matemu
Home
Unlabelled
SIKU YA UANUWAI WA UTAMADUNI DUNIANI KUADHIMISHWA MEI 21 KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...