Home
Unlabelled
flashback!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kweli tumetoka mbali, sasa salamander ya zamani ni hapo kushoto au kwenye makuti?
ReplyDeleteFor those of us who love history these pictures are priceless! Please post some more if you have them.
ReplyDeleteHapa inathibitisha Zanzibar ilikuwa imeendelea zaidi kabla ya Dar es salaam!525
zanzibar kulikua na maendeleo makubwa kushinda bara
ReplyDeleteAsante sana.Picha hizi za zamani zinapunguza 'msongo' wa mawazo.
ReplyDeleteDavid V
Ukiangalia picha hizi na zile Ankal anazotuonyesha inaonyesha kwamba kuna maendeleo, mahali nyumba duni zilipobaki kila mtanzania kufuataa na uwezo wake afanye bidii kuchochea maendeleo ili kuziondoa.
ReplyDelete1887 camera ilikuwepo? possible lakini
ReplyDeleteHapo kwenye Makuti ndio duka la Sapner lilipo leo?
ReplyDeleteSi dhani kama 1887 kulikuwa na gari kwetu. Rekebisha mwaka mzee
ReplyDeletehizi picha zimepigwa katika vipindi viwili tofauti
ReplyDeletenadhani kielelezo kizuri ni model ya gari
watu tuwe na akili , ndiyo maana wazungu wanatudharau
Sioni sababu ya kusema zanzibar ilikuwa imeendeea zaidi kuliko bara kwa kuangalia hizi picha mbili tuu.
ReplyDeleteMimi ni Mzanzibari lakini hiyo gari sio ya model ya 1887!!
ReplyDeleteMwaka 1887 Zanzibar kulikuwa na motokari kweli?
ReplyDelete1887 Zanzibar tulikuwa na marikwama.
ReplyDeleteMdau
Christos Papachristou
miaka hiyo kulikuwa hamna motokaa usitake kutudanganya! ni mwendo wa farasi na gari moshi
ReplyDelete