Hapo ndio leo Mtaa wa Samora jijini Dar es salaam ilipokuwa mhgahawa wa Salamander ambayo sasa imepigwa nyundo kuoisha jengo jipya. Chini ni sehemu ya soko kuu la Zanzibar miaka hiyohiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2014

    Kweli tumetoka mbali, sasa salamander ya zamani ni hapo kushoto au kwenye makuti?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 27, 2014

    For those of us who love history these pictures are priceless! Please post some more if you have them.

    Hapa inathibitisha Zanzibar ilikuwa imeendelea zaidi kabla ya Dar es salaam!525

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 27, 2014

    zanzibar kulikua na maendeleo makubwa kushinda bara

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 27, 2014

    Asante sana.Picha hizi za zamani zinapunguza 'msongo' wa mawazo.

    David V

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 27, 2014

    Ukiangalia picha hizi na zile Ankal anazotuonyesha inaonyesha kwamba kuna maendeleo, mahali nyumba duni zilipobaki kila mtanzania kufuataa na uwezo wake afanye bidii kuchochea maendeleo ili kuziondoa.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 27, 2014

    1887 camera ilikuwepo? possible lakini

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 27, 2014

    Hapo kwenye Makuti ndio duka la Sapner lilipo leo?

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 27, 2014

    Si dhani kama 1887 kulikuwa na gari kwetu. Rekebisha mwaka mzee

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 27, 2014

    hizi picha zimepigwa katika vipindi viwili tofauti

    nadhani kielelezo kizuri ni model ya gari

    watu tuwe na akili , ndiyo maana wazungu wanatudharau

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 27, 2014

    Sioni sababu ya kusema zanzibar ilikuwa imeendeea zaidi kuliko bara kwa kuangalia hizi picha mbili tuu.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 27, 2014

    Mimi ni Mzanzibari lakini hiyo gari sio ya model ya 1887!!

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 27, 2014

    Mwaka 1887 Zanzibar kulikuwa na motokari kweli?

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 27, 2014

    1887 Zanzibar tulikuwa na marikwama.

    Mdau
    Christos Papachristou

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 27, 2014

    miaka hiyo kulikuwa hamna motokaa usitake kutudanganya! ni mwendo wa farasi na gari moshi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...