Kikosi cha Bwawa la Maini kwenye mnuso wa kuzawadia wachezaji bora uliofanyika usiku huu katika hoteli ia Hilton Liverpool na kuhudhuriwa na wapenzi na wanachama kutoka kila pembe ya dunia ikiwemo Tanzania ambayo iliwakilishwa na viongozi wa The Kop In Tanzania
 Sehemu ya wageni kwenye mnuso huo katika hoteli ya Hilton Liverpool
 Katibu wa The Kop in Tanzania Issa Batenga akiwa na kocha wa Bwawa la Maini Brendan Rodgers kwenye mnuso huo usiku huu hoteli ya Hilton Liverpool
Katibu wa The Kop in Tanzania Issa Batenga katika mnuso huo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 07, 2014

    Jamani poleni sana Looser pool, yaani mnanyanganywa tonge mdomoni hivi hivi inabidi mmtafute mzee Ferguson awape mbinu maana mlofanya yeye huwa hafanyi akikaribia ubingwa

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 07, 2014

    Polei sana wapenzi wa Bwawa la Maini kwa kuukosa ubingwa mwaka huu, sajilini beki imara labda mwakani mtafanikiwa, ila sisi, Red Devils, tutarudi strong mwakani kuhakikisha kombe halitoki Manchester!!!!???? tehe tehe tehe.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 07, 2014

    Mbona maini mmefanya haraka kuzawadiana?
    Si mngesubiri mwisho wa wk mtangazwe mabingwa ndio mpeane zawadi?
    Hapa sielewi somo naomba mnieleweshe.
    Au ndio wale wale wa nafasi ya pili sawa na ubingwa?
    Mndengereko Ukerewe

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 07, 2014

    Mjomba Michuzi ama kwelikupenda kubaya!.

    'Penye pengo huita pana mwanya ' na 'Penye chongo huita pana kengeza'

    Yaani kufuatia kipigo na kuelekea kuukosa Ubingwa EPL bado tena mnapata ujasiri wa kupongezana?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 07, 2014

    Loosers, loosers, loosers!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 07, 2014

    Michuzi mnapongezana huku Suarez machozi shavuni!

    Si mngesubiri hata baada ya wiki ili machungu yapoe?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 07, 2014

    Liverpool Ubingwa marijooo!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 07, 2014

    Hiyo Kisaikolojia ndiyo Pati ya Ubingwa ulioota mbawa !

    Brendan Rodgers ameamua kufanya Pati baada ya kuona ari ya wachezaji imepondeka kufuatia kipigo kinacho hatarisha kuukosa ubingwa!

    Jamaa Brendan fundi huyo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...