Kikosi cha Bwawa la Maini kwenye mnuso wa kuzawadia wachezaji bora uliofanyika usiku huu katika hoteli ia Hilton Liverpool na kuhudhuriwa na wapenzi na wanachama kutoka kila pembe ya dunia ikiwemo Tanzania ambayo iliwakilishwa na viongozi wa The Kop In Tanzania
Sehemu ya wageni kwenye mnuso huo katika hoteli ya Hilton Liverpool
Katibu wa The Kop in Tanzania Issa Batenga akiwa na kocha wa Bwawa la Maini Brendan Rodgers kwenye mnuso huo usiku huu hoteli ya Hilton Liverpool
Katibu wa The Kop in Tanzania Issa Batenga katika mnuso huo
Jamani poleni sana Looser pool, yaani mnanyanganywa tonge mdomoni hivi hivi inabidi mmtafute mzee Ferguson awape mbinu maana mlofanya yeye huwa hafanyi akikaribia ubingwa
ReplyDeletePolei sana wapenzi wa Bwawa la Maini kwa kuukosa ubingwa mwaka huu, sajilini beki imara labda mwakani mtafanikiwa, ila sisi, Red Devils, tutarudi strong mwakani kuhakikisha kombe halitoki Manchester!!!!???? tehe tehe tehe.
ReplyDeleteMbona maini mmefanya haraka kuzawadiana?
ReplyDeleteSi mngesubiri mwisho wa wk mtangazwe mabingwa ndio mpeane zawadi?
Hapa sielewi somo naomba mnieleweshe.
Au ndio wale wale wa nafasi ya pili sawa na ubingwa?
Mndengereko Ukerewe
Mjomba Michuzi ama kwelikupenda kubaya!.
ReplyDelete'Penye pengo huita pana mwanya ' na 'Penye chongo huita pana kengeza'
Yaani kufuatia kipigo na kuelekea kuukosa Ubingwa EPL bado tena mnapata ujasiri wa kupongezana?
Loosers, loosers, loosers!
ReplyDeleteMichuzi mnapongezana huku Suarez machozi shavuni!
ReplyDeleteSi mngesubiri hata baada ya wiki ili machungu yapoe?
Liverpool Ubingwa marijooo!
ReplyDeleteHiyo Kisaikolojia ndiyo Pati ya Ubingwa ulioota mbawa !
ReplyDeleteBrendan Rodgers ameamua kufanya Pati baada ya kuona ari ya wachezaji imepondeka kufuatia kipigo kinacho hatarisha kuukosa ubingwa!
Jamaa Brendan fundi huyo?