Madaktari wakianza kumfanyia Operesheni ya tumbo kwa ajili ya kuondoa mfuko wa nyongo, mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam kwa kutumia vifaa vya kisasa ambapo mgonjwa hufanyiwa upasuaji kwa njia ya matobo.
Madaktari wakiendelea na upasuaji.
Dokta Muganyizi Kairuki akifanya upasuaji huku akiangalia kwa kutumia kamera maalum wakati wa kufanya operesheni.


Hii inapendeza .....kuona kila hospitali inaingia ktk utoaji huu wa huduma......baadae itakua ni kitu cha kawaida kama ilivyo huku nje....nakumbuka hata smart kadi zilipoanza huko nyumbani ilikua dili lakini sasa ni kawaida.....polepole kama ambavyo wazungu upenda kutujoki...tutafika tu....
ReplyDeleteHii ni hatua kubwa na hospitali nyingine pia zijitahidi. Operation Kama hii inafanyika hospital nadhani moja tu ya Seliani Arusha. Pongezi nyingi kwa Dr Kairuki na team yake. Selina
ReplyDeleteipo kcmc na hata mnazi mmoja zanzibar
ReplyDelete