Kwa mara ya kwanza wilaya za Kilombero, Mikumi na Ifakara wamepata studio nzuri na ya maana ambayo kwa sasa wasanii wa maeneo hayo hawapati tena tabu za kusafiri umbali mreefu kutafuta huduma za kurecord nyimbo zao........hii ni moja ya kazi za kwanza kwanza kabisa za studio hiyo inayoenda kwa jina la KINGS RECORDS
Nyimbo inaitwa CHURURU Artist anaitwa PLACK KAMLAMBO
Studio;
KING RECs
Producer
RAMSO
Mkurugenzi wa studio
IMMA BONGE
Studio inapatikana KILOMBERO maeneo ya nyamvisi
Kwa mawasiliano yaan kwa ajili ya interview au maelewano ya kibiashara piga au text kwenda+255783532818 au +255752843869
Studio;
KING RECs
Producer
RAMSO
Mkurugenzi wa studio
IMMA BONGE
Studio inapatikana KILOMBERO maeneo ya nyamvisi
Kwa mawasiliano yaan kwa ajili ya interview au maelewano ya kibiashara piga au text kwenda+255783532818 au +255752843869
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...