Wafuatao ni
washiriki wa mashindano ya Mama Shujaa wa Chakula kutoka mikoa mbalimbali ya
Tanzania ambao sasa wapo kijijini Maisha Plus wakiwania zawadi ya vifaa vya
kilimo vyenye thamani ya Tzshs. Milioni 20.
MS 01: Elinuru M. Pallangyo - Arusha
MS 02: Dorothy D. Pallangyo - Arusha
MS 03: Leah D. Mnyambugwe - Dodoma
MS 06: Martina G. Chitete - Iringa
MS 08: Grace G. Mahumbuka - Kagera
MS 10: Zinaida J. Kijeri - Kigoma
MS 11: Upendo M. Msuya - Kilimanjaro
MS 12: Neema U. Kivugo - Manyara
MS 15: Elizabeth Simon - Morogoro
MS 16: Joyce N. Hassan - Mtwara
MS 17: Bahati Muriga - Mwanza
MS 18: Thereza Kitinga - Mwanza
MS 20: Santina Mapile - Njombe
MS 21: Mary A. Ndasi - Rukwa
MS 22: Fredina M. Said - Shinyanga
MS 23: Esther Kulwa - Simiyu
MS 24: Mary J. Mwanga - Singida
MS 25: Doricus M. Shumbi - Singida
MS 27: Kuruthum R. Mwengele - Tanga
Kumpigia kura mshiriki umpendae, andika namba yake mfano MS 00 kisha tuma
kwenda +255689666662 au mtandaoni kupitia: http://voting.maishaplus.tv/index.php/voting/mamashujaa
Wekeza kwa wakulima wadogo wanawake. INALIPA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...