Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 15, 2014

    Sasa hawa waheshimiwa wanataka ulinzi shirkishi mbona hawajaweka picha sababu huwezi muuliza jina kila mtu ukimuona na pia sio lazima akutajie jina

    POLISI wekeni picha ya mtuhumiwa

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 15, 2014

    Hongereni kwa makusanyo, ongezeni bidii maana tukitegemea TRA hatutafika.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 15, 2014

    huyu jamaa ni kiboko...maana amewea hata kublock picha yake isionekane hapa kwa michuzi tehetehetehete

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 15, 2014

    Mbona mnatutangazia kuweka picha lakini hatuioni?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 15, 2014

    Ohhh, kumbe Polisi DUME !

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 15, 2014

    Acheni Uhalifu, Ujambazi na Wizi mjifunze Kilimo na Biashara kwa kufanya kazi na kupata vipato vya halali!

    Ohooo Mutafungwaaaaaaaa!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 15, 2014

    Polisi inajitahidi sana !

    Isipokuwa ndani ya hiyohiyo Polisi pana Maafande wanauza Mechi, ndiom maana jitihada zinakwama kufikia malengo.

    Pia Maafande wengine wanakuwa wazuri hadi suku ya Gwaride la Kumalizia, ohhh utawataka wanavunja Matofali kwa Karate na kwa mikono MIGUMU NA MISULI KAMA JOHN CENA na pia kupiga vichwa na kuvunja matofali!!!, lakini wakifika Mitaani na kuanza kupokea Rushwa mikono inaacha kuwa kama ya John Cena inakuwa kama mirenda ndembendembe imelegea!!!,

    Unakuta Afande anakuwa na kitambi hata kumfukuza mwizi anashindwa.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 15, 2014

    Ankali picha yake huyo Kinara wa Ujambazi ipo wapi?

    Au na wewe umesha pokea kitu usitoe picha hapa Jamvini?

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 15, 2014

    Mjomba Michuzi acha woga turushie picha yake huyo Kinara wa Ujambazi TUTA KULINDA KWA GHARAMA ZOZOTE ZILE!

    MJOMBA MICHUZI POLISI INATISHA KAMA RADI LETE PICHA YAKE JAMAA HARAKA!

    Kwanza Majeshi yetu ni kama Gharika huyo jamaa ukirusha picha yake ataanzia wapi kukudhuru wewe?

    Yeye mwenyewe kwa sasa anaishi kwenye mapango hata simu hatumii akiogopa kunaswa, anasakwa kama mbwa maji !!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...