Home
Unlabelled
JESHI LA POLISI LAMGUNDUA KINARA WA MTANDAO WA WIZI KATIKA MABENKI JIJINI D’SALAAM (PICHA YAKE YATOLEWA HADHARANI) ANATAFUTWA NA JESHI LA POLISI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa hawa waheshimiwa wanataka ulinzi shirkishi mbona hawajaweka picha sababu huwezi muuliza jina kila mtu ukimuona na pia sio lazima akutajie jina
ReplyDeletePOLISI wekeni picha ya mtuhumiwa
Hongereni kwa makusanyo, ongezeni bidii maana tukitegemea TRA hatutafika.
ReplyDeletehuyu jamaa ni kiboko...maana amewea hata kublock picha yake isionekane hapa kwa michuzi tehetehetehete
ReplyDeleteMbona mnatutangazia kuweka picha lakini hatuioni?
ReplyDeleteOhhh, kumbe Polisi DUME !
ReplyDeleteAcheni Uhalifu, Ujambazi na Wizi mjifunze Kilimo na Biashara kwa kufanya kazi na kupata vipato vya halali!
ReplyDeleteOhooo Mutafungwaaaaaaaa!!!!!!!
Polisi inajitahidi sana !
ReplyDeleteIsipokuwa ndani ya hiyohiyo Polisi pana Maafande wanauza Mechi, ndiom maana jitihada zinakwama kufikia malengo.
Pia Maafande wengine wanakuwa wazuri hadi suku ya Gwaride la Kumalizia, ohhh utawataka wanavunja Matofali kwa Karate na kwa mikono MIGUMU NA MISULI KAMA JOHN CENA na pia kupiga vichwa na kuvunja matofali!!!, lakini wakifika Mitaani na kuanza kupokea Rushwa mikono inaacha kuwa kama ya John Cena inakuwa kama mirenda ndembendembe imelegea!!!,
Unakuta Afande anakuwa na kitambi hata kumfukuza mwizi anashindwa.
Ankali picha yake huyo Kinara wa Ujambazi ipo wapi?
ReplyDeleteAu na wewe umesha pokea kitu usitoe picha hapa Jamvini?
Mjomba Michuzi acha woga turushie picha yake huyo Kinara wa Ujambazi TUTA KULINDA KWA GHARAMA ZOZOTE ZILE!
ReplyDeleteMJOMBA MICHUZI POLISI INATISHA KAMA RADI LETE PICHA YAKE JAMAA HARAKA!
Kwanza Majeshi yetu ni kama Gharika huyo jamaa ukirusha picha yake ataanzia wapi kukudhuru wewe?
Yeye mwenyewe kwa sasa anaishi kwenye mapango hata simu hatumii akiogopa kunaswa, anasakwa kama mbwa maji !!!