Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge  wa Kigoma Kaskazini  kwa tiketi ya CHADEMA Zitto Zuberi Kabwe aliyelazwa katika wodi ya wagonjwa wenye kuhitaji uangilizi maalumu(ICU) hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam leo.
Picha na Freddy Maro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2014

    Mungu atamsaidiaa atapona inshaallah! !!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 25, 2014

    Get well soon.....

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 26, 2014

    Pole sana mama yetu, Mungu akujalie upone haraka.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 26, 2014

    Eee Mwenyezi Mungu mpe auheni mama yetu apone haraka, pole sana Mama, pole Mh Zitto.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 26, 2014

    Mungu umjalie mja wako auheni apone haraka. mheshimiwa zitto mungu atamsaidia mama

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 26, 2014

    Nani kama mama. Tunakuombea uponyaji wa haraka.

    ReplyDelete
  7. Tunakuombea afya njema mama yetu. Pole sn comrade ZZK

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 26, 2014

    mwandishi hujamaliza uandishi wako .....mama jina lake nani ?...mungu ampe afwen

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...