Meneja Mradi wa ujenzi wa Daraja la Mbutu,Injinia Makoye Luhuya akielezea maendeleo ya ujenzi wa daraja la Mbutu kwa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana mapema leo,wilayani Igunga mkoani Tabora
 Ujenzi wa daraja la Mbutu ukiendelea kwa kasi
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiweka mbao wakati wa ujenzi wa daraja hilo ukiendelea,wilayani Igunga mkoani Tabora mapema leo asubui.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa  Meneja Mradi wa ujenzi wa Daraja hilo,Injinia Makoye Luhuya kuhusu ujenzi wa daraja la Mbutu, wilayani Igunga, leo Mei 9, 2014, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kuimarisha uhai wa chama na kusikiliza kero za wananchi mkoani Tabora. Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (mbele) akishuka, baada ya kukagua ujenzi wa daraja la Mbutu, wilayani Igunga, leo Mei 9, 2014, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kuimarisha uhai wa chama na kusikiliza kero za wananchi mkoani Tabora. 
 Sehemu ya Daraja hilo Mbutu kama lionekanavyo pichani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 09, 2014

    Wapi Wizara husika hadi CCM wafanye hiyo ni project yao?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 10, 2014

    Tunajua CCM inataka kuonyesha kwamba inajali wananchi haswa wakati huu ambao tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu. Hawa viongozi wanatakiwa kuonyesha mfano mzuri haswa wa kufuata mashara usalama kazini. Habu waangalie hapo juu, si Nawie wala Kinana, hakuna aliyevaa vifaa vya usalama (helmet na nguo zinazoonyesha kwamba upo kwenye site ambayo ujenzi unaendelea). Huu ni mfano mbaya na wamepoteza credit yote!

    Mgaibuni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...