Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Mbunge wa jimbo la Nzega,Mh.Hamis Kingwangala mapema leo asubuhi katika kijiji cha Ziba,mpakani mwa Igunga na Nzega, wakati Ndugu Kinana na Ujumbe wake akiwa ameambatana na Katibu wa NEC,Itikadi, Siasa na Uenezi CCM Taifa,Nape Nnauye mara baada ya kuwasili wilayani humo kuendelea na ziara yake ya siku 10 mkoani Tabora.Kinana amewasilia wilayani Nzega akitokea wilayani Igunga mkoani Tabora.
  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akisalaimiana na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa,Hussein Bashe mara baada ya kupokelewa katika kijiji cha Ziba,mpakani mwa Igunga na Nzega mkoani Tabora.
Mkuu wa Wilaya ya Igunga ambaye pia ni Kaimu mkuu wa Wilaya ya Nzega,Elibariki Kingu akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Nzega,Mh.Hamis Kingwangala mapema leo asubuhi wakati Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana alipowasilia wilayani Nzega kuendelea na ziara yake ya siku 10 mkoani Tabora,kushotoo ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora,Mh Fatma Mwasa.
 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na vijana wa Green Gard,kulia ni  Katibu wa NEC,Itikadi, Siasa na Uenezi CCM Taifa,Nape Nnauye
  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na vijana wa Green Gard na viongozi mbalimbali wa Wilaya na Mkoa,katika kijiji cha Ziba mapema leo asubuhi.
  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza mbele wananchi wa kijiji cha Ziba mara baada ya kupokelewa na viongozi mbalimbali wa Wilaya na Mkoa.
 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya mara baada ya kupokea taarifa fupi ya chama na Serikali,katika ukumbi wa RC mjini Nzega leo asubuhi. CCM Taifa,Nape Nnauye.PICHA NA MICHUZIJR-NZEGA TABORA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...