Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, Profefesa Makame Mbarawa (kulia)wakizungumza na Wawekezaji katika Tekinolojia ya Mawasiliano kutoka Vietnam, Nguyen Quang (w apili kulia) na Pham Dai Bach (katikati)l ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni Mjini Dodoma May 10, 2014. Wapili kushoto ni mwenyeji wa wawekezaji hao, Balozi F. Mdolwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Home
Unlabelled
PINDA AKUTANA NA WAWEKEZAJI TOKA VIETNAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...