Katibu Mkuu wa CCM, Kinana, akisalimiana na Mbunge wa Singida Magharibi, Lazaro Nyalandu, wakati wa mapokezi yake baada ya kuwasli mpakani mwa Tabora na Singida, mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto), akisaidiwa na Mbunge wa Manyoni Magharibi, Paul Luanje, kuwapa mafundi bati waliokuwa wakipaua, jengo la maabara katika shule ya sekondari Mgandu, iliyopo katika kijiji cha Kayui Manyoni Magharibi, mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akifukia mti bada ya kuupanda kama kumbukumbu ya kushiriki ujenzi wa jengo hilo la maabara katika shule ya sekondari Mgandu, iliyopo katika kijiji cha Kayui Manyoni Magharibi, mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida, leo Mei 19, 2014. 

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa jengo la Chuo cha Ufundi- VETA, cha Jumuia ya Wazazi ya CCM, Kata ya Itagata, Manyoni, mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida. Aliyebeba tofali kumpa ni Mwenyekiti wa CCm mkoa wa Singida, Mgana
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akikagua bwawa lililochimbwa na serikali kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji na unyweshaji mifugo katika kijiji cha Itagata, wilayani Manyoni, mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida. Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na baadhi ya viongozi wa Chama mkoa huo.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara,kwenye Uwanja wa Reli, Itigi wilayani Manyoni, mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida.
Katibu
wa NEC, Itukadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara
kwenye Uwanja Relini, Itingi wilayani Manyoni Manyoni mkoani Singida.
Wananchi
wakimshangilia Kinana wakati akihutubia mkutano hadhara kwenye Uwanja
Relini, Itingi wilayani Manyoni Manyoni mkoani Singida.
PICHA NA MICHUZIJR-MANYONI SINGIDA.
Kwanini viongozi hao wanafanya kazi wasiyoijua....jack of all trades. Shule ikijengwa vibaya wao wanapaswa kulaumiwa kwa sababu wameingilia kazi za fundi.
ReplyDelete