Msanii Nasibu Abdul alias 'Diamond Platnumz' kwa sasa anakimbiza katika mchakato wa upigaji kura katika Tuzo za BET 2014 ambapo mpaka saa 10:55 leo jioni alikuwa anaongoza katika kundi lake akiwa na asilimia 75.79 ya kura zote akifuatiwa na Mafikizolo wenye kura asilimia 8.34. na wengine kama jedwali linavyoonesha hapo chini. Tuzo hizo zitatolewa Juni 29 mwaka huu jijini Los Angeles, Marekani.
Kisha telemka chini hadi utapokuta "BEST INTERNATIONAL ACT: AFRICA" bofya tundu lenye jina lake kisha bofya "VOTE"... kitu na boxi!
Nafikiri hizi sio official vote Ni radio wanatizama muelekeo wa vote
ReplyDeleteAme vaa "KI-TOP"?
ReplyDeletehii ni ya redio station hizi kura, taguta habari zaidi toka BET juu ya kama kuna kura zinapigwaje
ReplyDeleteSafi sana! Tuendelee kumpigia kura kijana wetu awakilishe BET na kufungua milango ya wanamuziki wa Tanzania
ReplyDeleteNimeshapiga kura yangu naelekea nyumbani sasa baada ya msururu mrefu(Utani).
ReplyDeleteDavid V
hii wala haina uhusiano na BET mtashangaa Diamond atakosa kura nyingi za watanzania kutokana na wengi kuamni hii ndo real site
ReplyDeleteMm nashindwa elewa kabisaaa na hawa mawaziri wetu wa sanaa na michezo, hili swala la diamond kufika BET ni sifa ya Tanzania wanatakiwa wampongeze na sio kukaa kimya kama vile hawajui kinachoendelea, hata kuwaambia watu wapige kura wanashindwa, lol..shame on you guys. .
ReplyDeletewa togo wanapiga kura kwa kasi sana. sasa hivi Toofan atampiku diamond kama kasi ya watz itapungua. watch out.
ReplyDeletedah tutashukuru kama ss wasafi tutachukua tuzo zetu BET
ReplyDelete