Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 24, 2014

    Nadhani wahusika hawajui kuhusu hilo tatizo kwani wao ni aghalabu kupita njia hiyo ya Mandela kwa ujumla wake.
    Hiyo barabara ni kero kuanzia kurasini hadi ubungo na hapo tabata relini ndio kituo cha msongamano wa contena zilizokosa ufumbuzi za bandarini.pale tutegemee uharibifu mkubwa wa barabara ambayo ilifanyiwa ukarabati miaka miwili tu iliyopita. Maana hatuelewi tangu lini magari yakageuza main road kuwa parking yao usiku na mchana na hakuna kiongozi yoyote anaekerwa.
    VIONGOZI MTUONYESHE BASI UWEZO WENU KABLA YA UCHAGUZI MKUU HAPO MWAKANI AMBAPO TUNAJUA MTAKUJA BILA KUITWA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...