Home
Unlabelled
Kero ya malori Tabata Relini jijini dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nadhani wahusika hawajui kuhusu hilo tatizo kwani wao ni aghalabu kupita njia hiyo ya Mandela kwa ujumla wake.
ReplyDeleteHiyo barabara ni kero kuanzia kurasini hadi ubungo na hapo tabata relini ndio kituo cha msongamano wa contena zilizokosa ufumbuzi za bandarini.pale tutegemee uharibifu mkubwa wa barabara ambayo ilifanyiwa ukarabati miaka miwili tu iliyopita. Maana hatuelewi tangu lini magari yakageuza main road kuwa parking yao usiku na mchana na hakuna kiongozi yoyote anaekerwa.
VIONGOZI MTUONYESHE BASI UWEZO WENU KABLA YA UCHAGUZI MKUU HAPO MWAKANI AMBAPO TUNAJUA MTAKUJA BILA KUITWA.