Waziri wa Uchukuzi Mhe.Dkt Harrison Mwakyembe akijibu hoja za Wabunge kuhusu Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa Mwaka 2014/2015 leo.
 Waziri wa Uchukuzi Mhe.Dkt Harrison Mwakyembe na Mhe Anna Abdallah wakiwa   na Marubani  wanawake waliotembelea Bunge  kufuatilia  Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa Mwaka 2014/2015 leo.

 Waziri wa Uchukuzi Mhe.Dkt Harrison Mwakyembe na Mhe Anna Abdallah wakiwa na madereva wa Treni wanawake waliotembelea Bunge  kufuatilia  Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa Mwaka 2014/2015
 Waziri wa Uchukuzi Mhe.Dkt Harrison Mwakyembe na Mhe.Pindi Chana Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii wakiwa katika  picha ya pamoja na  Marubani  (wanawake),Kapteni wa Meli,madereva wa Treni (wanawake) na Marubani (wanawake) .waliotembelea Bunge leo kufuatilia  Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa Mwaka 2014/2015 leo.
 Waziri wa Uchukuzi Mhe.Dkt Harrison Mwakyembe akizungumza na baadhi ya watumishi wa wizara yake waliotembelea Bunge  kufuatilia  Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa Mwaka 2014/2015. 
Na Deusdedit Moshi Mtendaji Mkuu wa Photo Solutions wawakilishi wa Michuzi Blog Kanda ya kati. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2014

    duuuu nimeipenda hii...Hongereni sana

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 27, 2014

    Kumbe tunaweza! Hongereni fanyeni kazi tunataka kuona treni, meli,ndege zinafanya kazi kwa ufanisi uliotukuka. Maana sasa ni zaidi ya nusu karne hamna kitu pengine nyie mtabadilisha hali.
    Mbarikiwe.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 27, 2014

    YEES ILA ACHENI KUSHIKANA MABEGA BWANA HAPO TU! OTHERWISE GENDERLY CORRECT

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...