Waziri wa Uchukuzi Mhe.Dkt Harrison Mwakyembe akijibu hoja za Wabunge kuhusu Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa Mwaka 2014/2015 leo.
Waziri wa Uchukuzi Mhe.Dkt Harrison Mwakyembe na Mhe Anna Abdallah wakiwa na Marubani wanawake waliotembelea Bunge kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa Mwaka 2014/2015 leo.
Waziri wa Uchukuzi Mhe.Dkt Harrison Mwakyembe na Mhe Anna Abdallah wakiwa na madereva wa Treni wanawake waliotembelea Bunge kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa Mwaka 2014/2015
Waziri wa Uchukuzi Mhe.Dkt Harrison Mwakyembe na Mhe.Pindi Chana Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii wakiwa katika picha ya pamoja na Marubani (wanawake),Kapteni wa Meli,madereva wa Treni (wanawake) na Marubani (wanawake) .waliotembelea Bunge leo kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa Mwaka 2014/2015 leo.
Waziri wa Uchukuzi Mhe.Dkt Harrison Mwakyembe akizungumza na baadhi ya watumishi wa wizara yake waliotembelea Bunge kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa Mwaka 2014/2015.
Na Deusdedit Moshi Mtendaji Mkuu wa Photo Solutions wawakilishi wa Michuzi Blog Kanda ya kati.
duuuu nimeipenda hii...Hongereni sana
ReplyDeleteKumbe tunaweza! Hongereni fanyeni kazi tunataka kuona treni, meli,ndege zinafanya kazi kwa ufanisi uliotukuka. Maana sasa ni zaidi ya nusu karne hamna kitu pengine nyie mtabadilisha hali.
ReplyDeleteMbarikiwe.
YEES ILA ACHENI KUSHIKANA MABEGA BWANA HAPO TU! OTHERWISE GENDERLY CORRECT
ReplyDelete