Wakazi wa eneo la Isanga jijini Mbeya wakichota maji yaliyotuama katika barabara ya eneo hilo kwa wakati tofauti
kwa ajili ya matumizi mbali mbali nyumbani kwake kama alivyonaswa na
Kameta yetu,hii ni hali ya hatari sana kwa maisha ya binadamu hasa
kutokana na kuwepo kwa wimbi la magonjwa ya mlipuko.Picha na Fadhil Atick Globu ya Jamii,Mbeya.
Baiskeli zinapita hapo hapo.
Magari pia yanapita hapo hapo.
Kuna taarifa nilisoma zinazohusu watu kula paka nchini kenya......kutokana na hali ya maisha kua ngumu.....hawakua na jinsi, Hawa wa maji nao hawana jinsi....
ReplyDelete