Makamu wa Kwanza wa Rais wa Mahakama ya Kimataifa Jaji Sanji Mmasenono Monageng Raia wa Jamuhuri ya Botswana akifurahia Tuzo Maalum aliyokabidhiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji Wanawake Duniani Jaji Eusebia Munuo kushoto yake kwenye Tafrija ya Wajumbe wa Mkutano huo iliyofanyika Mkoani Arusha.Pembeni yao kulia ni Mkurugenzi  Mkuu wa Chama cha Majaji Wanawake Duniani      { IAWJ } anayefanya kazi zake  Makuu ya Chama hicho Mjini Washington Marekani Jaji J. Winship.
 Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Mohamed Chande Othman akitoa neno la shukrani kwenye tafrija maalum ya chakula cha usiku iliyoandaliwa kwa ajili ya Wajumbe wa Mkutano wa 12 wa Chama cha Majaji Wanawake Duniani hapo Hoteli ya Mount Meru Arusha.
  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  Ali Iddi akisalimiana na Mjumbe wa Chama cha Majaji Duniani kutoka Nchini Swatzeland    Jaji Sandry kwenye Tarija maalum ya Wajumbe wa Mkutano wa Majaji Wanawake Duniani. Kwa habari kamili na picha zaidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...