Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. M ohammed Gharib Bilal, akiongozana na Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima, wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar Es Salaam, leo Mei 28, 2014 kwa ajili ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Wafanyabiashara wa Bim Barani Afrika.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Wafanyabiashara wa Bim Barani Afrika, uliofanyika leo Mei 28, 2014 kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima, akizungumza machache kabla ya kumkaribusha Makamu wa Rais kufungua rasmi mkutano huo. 7 na 8:- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo baada ya ufunguzi.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal wakati akiwahutubia kufungua mkutano huo.
Picha ya Pamoja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia burudani ya ngoma ya asili ya Pemba wakati akiondoka kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro baada ya kufungua rasmi Mkutano mkuu wa mwaka wa Wafanyabiashara wa Bim Barani Afrika. Kulia ni Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima. Picha na OMR
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...