Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo, Utafiti na Ubadilishanaji Maarifa wa Chuo Kikuu cha Dar
es Salaam (UDSM), Profesa Florence Luoga (aliyesimama) akiongea wakati wa kufungua
kongamano la kimataifa la wanasayansi kujadili maneneo ya ardhioevu na yale ambayo mito
inakutana na bahari lililofanyika jana Jumanne jijini Dar es Salaam. Wengine ni waratibu wa kongamano
hilo, Mkurugenzi wa Taasisi ya Uthamini Raslimali (IRA) ya UDSM, Prof. Amos Majule (kushoto);
Dk. Catherine Masao (wa pili kulia) na Dk. Stephanie Duvail (kulia). Kongamano hilo linamalizika
kesho.
Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo, Utafiti na Ubadilishanaji Maarifa wa Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam (UDSM), Profesa Florence Luoga (kulia) akiongea jambo na Mkurugenzi wa Taasisi ya
Uthamini Raslimali (IRA) ya UDSM, Prof. Amos Majule mara baada ya kufunguliwa rasmi kwa
kongamano la kimataifa la wanasayansi kujadili maneneo ya ardhioevu na yale ambayo mito
inakutana na bahari Jumanne wiki hii jijini Dar es Salaam. Kongamano hilo linamalizika kesho.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...