Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua mavuno ya mahindi kutoka shambani kwake yaliyokusanywa nyumbani kwake Kibaoni wilayani Mlele, Mpanda Mei 24, 2014. Mheshimiwa Pinda anatarajia kuvuna zaidi ya magunia 1000 ingawa ekari tano za mahindi hayo ziliharibiwa na Tembo kutoka hifadhi ya Katavi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2014

    Hongera sana Mheshimiwa Pinda, wewe ni mfano wa kuiga,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...