Mkurugenzi wa Mawasiliano Ofisi ya Rais Ikulu Bw. Salva Rweyemamu na mkewe Mama Isabella Salva Rweyemamu wakijiandaa kuweka shada la maua wakati wa mazishi ya mtoto wao Private Brian Salva Rweyemamu yaliyofanyika jioni ya leo kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
Wazazi wakiweka shada lao la maua
Majonzi makubwa
Dada wa marehemu na shada lao maalumu kwa kaka yao
Dada wakiweka shada lao
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka mashada yao
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akiweka shada
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiweka shada.
R.I.P Brian
ReplyDeletePoleni saana familia,marafiki wa karibu na wahusika wote wengine,
sisi sote tupo katika kilio
cha kumpoteza mmojawapo wa
ngome yetu kuu ya ulinzi.
Mungu amlaze mahali pema
Mikidadi-Denmark
ReplyDeletePoleni sana Isabella na familia.
May Brian's Soul Rest in Eternal Peace. Amen
Aunt Nelly Temu Williams and family.
London
R.i.p brian tulikupenda ila mungu zaidi.
ReplyDeleteKwa niaba ya familia yangu nakupa pole sana Kaka Salva na familia yako pamoja na ndugu na jamaa. Sote tumeguswa saana na kuondoka kwa Brian mapema namna hii. Inatuuma na itatuuma saana lakini muhimu tusali, tumwombee mwenyezi Mungu amweke pema peponi Amina. Pia Mwenyezi Mungu akupe nguvu na moyo wa uvumilivu kaka Salva. Sali kila unapomkumbuka Brian na Mungu atabariki. Amina
ReplyDeleteBw.Salva na Bi Isabella Rweyemamu pamoja na familia yenu yote poleni sana kwa msiba wa mtoto wenu mpendwa uliowafikia, tupo nanyi nyote kwa maombi katika wakati huu wa majonzi.
ReplyDelete----Kaaya
USA.