Mdau Zainab Kessy Mtambo akiwa na Wazazi wake,Bw. Shaban Kessy Mtambo na Mama Zaitun Mtambo wakati wa hafla ya kupongezwa kwake kwa kulamba Nondozz yake ya Bachelor of Arts (Communication and Media Management) katika Chuo Kikuu cha Taylor's University,Subang Jaya, Selangor, Malaysia.
Zainab Kessy akifurahia kulamba Nondozz yake huku akipongezwa na Baba yake,Bw. Shaban Kessy.
Familia imetikia,toka Kulia ni Bw. Shaban Kessy,Mama Zaituni,Muhitimu mwenyewe Bi. Zaibab pamoja na Kaka yake,Abdulrahman.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...