Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za Serikali Ndugu Ludovick S.L.Utouh akizungumza na waandishi wa habari(hawako)pichani kuhusu mambo muhimu yaliyopo kwenye ripoti ya ukaguzi wa hesabu ya Mwaka wa fedha ulioishia Juni 30 2013 kama ilivyo wasilishwa Bungeni Tarehe 7 Mei,2014.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za Serikali Ndugu Ludovick S.L.Utouh akiwa katika picha ya pamoja na wataalam alioongozana nao.
Sehemu ya vitabu vyenye ripoti hiyo.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za Serikali Ndugu Ludovick S.L.Utouh akizungumza na waandishi wa habari akiwa na Mweyekiti wa kamati ya kudumu ya tawala zamikoa na serikali za mitaa Mhe.Mbarouk Mohamed(kulia) na Mwenyekiti wa kamati ya mashirika ya Umma Mhe Zitto Kabwe(kushoto)
Sehemu ya wageni walioshuhudia hafla hiyo. Picha na Deusdedit Moshi Mtendaji Mkuu wa Photo Solutions wawakilishi wa Michuzi Blog Kanda ya Kati Dodoma.
Hivi hawa wadhungu mnawaalika wa nini kwenye vihafla visivyowahusu? Maake nimeona kila kakitu kanakotokea nchi hii nao utawaona wamejazana!
ReplyDeleteOhhhh!
ReplyDeleteHivi bado tuna utaratibu wa makabrasha na marundo ya vitabu badala ya kuweka Taarifa kwa njia ya Dijitali?
Anonymous wa kwanza, kukujibu swali lako ndugu yangu ..wadhungu ndio wanaotuma hella na misaada kwa hiyo lazima waangalie au waluwepo kwenye shughuli kama hizi maana sisi watazania we can not manage our economy or money hata za misaada...its sad but a reality ukiangalia tuna kila kitu na uwezo
ReplyDeleteMUNGU ibariki TANZANIA
mdau wa kwanza
ReplyDeletewao ndio watoa pesa aka misaada
kwa hiyo wanakuja kucheki kama mnafanya kazi zenu sawasawa na kama mnatumia hela za walipa kodi wao jinsi inavyotakiwa
utani tu ... ila waweza karibiana na ukweli