Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za Serikali Ndugu Ludovick S.L.Utouh akizungumza na waandishi wa habari(hawako)pichani kuhusu mambo muhimu yaliyopo kwenye ripoti ya ukaguzi wa hesabu ya Mwaka wa fedha ulioishia Juni 30 2013 kama ilivyo wasilishwa Bungeni Tarehe 7 Mei,2014.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za Serikali Ndugu Ludovick S.L.Utouh akiwa katika picha ya pamoja na wataalam alioongozana nao.
Sehemu ya vitabu vyenye ripoti hiyo.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za Serikali Ndugu Ludovick S.L.Utouh akizungumza na waandishi wa habari akiwa  na Mweyekiti wa kamati ya kudumu ya tawala zamikoa na serikali za mitaa Mhe.Mbarouk Mohamed(kulia) na Mwenyekiti wa kamati ya mashirika ya Umma Mhe Zitto Kabwe(kushoto)
Sehemu ya wageni walioshuhudia hafla hiyo. Picha na  Deusdedit Moshi Mtendaji Mkuu wa Photo Solutions wawakilishi wa Michuzi Blog Kanda ya Kati Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 08, 2014

    Hivi hawa wadhungu mnawaalika wa nini kwenye vihafla visivyowahusu? Maake nimeona kila kakitu kanakotokea nchi hii nao utawaona wamejazana!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2014

    Ohhhh!

    Hivi bado tuna utaratibu wa makabrasha na marundo ya vitabu badala ya kuweka Taarifa kwa njia ya Dijitali?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 08, 2014

    Anonymous wa kwanza, kukujibu swali lako ndugu yangu ..wadhungu ndio wanaotuma hella na misaada kwa hiyo lazima waangalie au waluwepo kwenye shughuli kama hizi maana sisi watazania we can not manage our economy or money hata za misaada...its sad but a reality ukiangalia tuna kila kitu na uwezo
    MUNGU ibariki TANZANIA

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 08, 2014

    mdau wa kwanza

    wao ndio watoa pesa aka misaada

    kwa hiyo wanakuja kucheki kama mnafanya kazi zenu sawasawa na kama mnatumia hela za walipa kodi wao jinsi inavyotakiwa

    utani tu ... ila waweza karibiana na ukweli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...