IJUMAA May 23, 2014 kuanzia saa 3 usiku mpaka saa 9 alfajirii ni Oldskul Night kama wewe ni kijana wa zamani sio usiku wa kukosa Pata Oldskul hapo chini ujikumbushekumbushe mambo yatakavyokuwa Kingilio $10
Dj Luke The Mix Master III from Luke Joe on Vimeo.
JUMAMOSI May 24, 2014 Mechi ya Mpira DMV a New York kuanzia saa 10 jioni mpaka saa 1 usiku Mechi itachezewa Walker Mills Park Address 8001 Walker Mills Rd, Capitol Heights, MD 20743 na baadae usiku wa International White Party Dress all white kiingilio $10
JUMAPILI may 25, 2014 kuanzia saa 10 jioni nyama choma Meadowbrook park Address 7901 Meadowbrook Lane, Checy Chase, MD na usiku Reggae Night Kiingilio $10
Party za usiku zitafanyika Safari Club kuanzia Ijumaa usiku address 4306 Georgia Ave, NW, Washington, DC 20011 - KARIBUNI

New York Dream Team (NYATI)
Timu ya DMV
Kuanzia May 23- 25, 2014 Vijimambo Blog inakuandalia bonge la party, siku tatu za kula raha, nyama choma na mechi ya mpira iliyokua ikisubiliwa kwa hamu kati ya New York na DMV ni wiki ya memorial Weekend sasa kufanyika DC jiji la watunga sheria kwa nguvu zote.
Party za usiku zitafanyika Safari Club kuanzia Ijumaa usiku address 4306 Georgia Ave, NW, Washington, DC 20011 - KARIBUNI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...