Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy Rose Bhanji katikati akipokea keki kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki zake wakati wa tafrija maalum ya kumpongeza baada ya kutimiza miaka yake kadhaa katika ulimwengu huu Mei 3, 2014. Tafrija hiyo ilifanyika nyumbani kwake Mbweni Dar es Salaam.
Birthday Girl! Shy-Rose akikata akijiandaa kukata keki...
Marafiki zake wa karibu ambao pia ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Ester Bulaya (kushoto) na Mhe. Halima Mdee wakimlisha keki kwa pamoja Shy-Rose.
Kwa Picha zaidi BOFYA HAPA
Kwa Picha zaidi BOFYA HAPA
birthday girl tena?mbona keshakua woman,lady?
ReplyDelete